Mr. World 2016 ni mashindano ambayo hufanyika kila mwaka ambapo mwaka huu mashindano hayo yalifanyika mjini Southport nchini Uingereza ambapo mwana Afrika Mashariki Kevin mwenye umri wa miaka 21 alichukua kati ya nafasi 4 za juu na kuweza kuwapewa nafasi ya Mr. Africa.
“I am still ecstatic. It is amazing. I can’t believe this. It is an awesome feeling. I am lost of words and I thank God for all this,” a jubilant Kevin told Pulse minutes he was announced the fourth best. Surprisingly, I have been expecting to score well here and I am grateful I made it through,” alisema Kevin.
Kevin, ambae alisimamisha bendera ya Kenya katika mashindano hayo ambayo mshindi alikuwa Mr. India Rohit Khandelwah, mwenye umri wa miaka 26 ambae ni actor na TV personalit, wakati nafasi ya 2 ilichukuliwa na Puerto Rico na Mr. Mexico kukamata 3.
“I am very humble to be the 1st Asian to crown Mr. World 2016” Rohit alisema kwenye moja ya Interview baada ya mashindano hayo kuisha hapo jana.
The post PICHA: Kevin kutoka Kenya achukua nafasi ya juu kwenye Mr. World 2016 huko Southport – UK appeared first on GongaMx.com.