Quantcast
Channel: Lifestyle – GongaMx.com
Viewing all articles
Browse latest Browse all 21

#GongaSenseOfLifestyle || HAIFAI KWA MTOTO WA KIUME…||

$
0
0

Nimeamua ku-share Kama nilivyotumiwa…..

1: Hata uone kitu kimekaa poa niaje, hutakiwi kusema ‘Awww, that’s soo cute! Huo ni ushoga!

2: Haufai kusema haya maneno kuonyesha umeshituka ”OMG, Akaah! ama ‘Ooo My Ghosh!’ Huo ni ushoga.

3: Ukiomba kitu haifai kusema ”Jamaaaniii naomba au
pliiiz! Huo ni ushoga.

4: Ukituma sms usitumie ”Xo’ ‘Xema’ ‘Xaxa’ ‘Pouwar’ ama ‘Xwirry! Huo ni ushoga.

5: Kummendea demu wa mshikaji wako au mke wa mtu ni ushoga. utakuja kukojoa dagaa….

6: Hufai kuwasema washkaji zako ukiwa na mademu huo ni umbea mwanangu.. acha ushoga.

7: Rangi ya pink usitumie sana hata kama unaipenda kwenye vitu vyako. Dume zima utatumiaje pink.. huo ni ushoga.

8: D emu akikukataa chapa lapa kiroho safi, na sio eti uanze kudanganya masela ooh yule mi nishapiga. Acha ushoga pimbi wewe.!

9: Usiongee ongee eti unaeza kumpiga mtu flan, huo ni utoto kama vip nenda kampige tuone. Acha ushoga.!

10:Usiwe mtu wa kununa nuna ovyo tena kwa vitu vidogo. mfano msela kachelewa kujibu msg yako, bas unanuna siku nzima, unamnunia nani? We shoga nini!

11: Kucheki tamthiliya, tena na madem alaf mnaanza kuadithiana ilivyo kuwa, sijui wafilipino nini haifai kwa mtoto wa kiume….. huo ni ushoga.!!


Viewing all articles
Browse latest Browse all 21

Trending Articles