Mjasiriamali na mwanamitindo mashuhuri nchini, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoto ambaye pia aliwahi kuwa mshindi wa pili wa shindano la Miss Tanzania mwaka 2005 amekuja kivingine katika suala zima la ujasiriamali baada ya kuingiza sokoni mabegi ya kubeba mgongoni aliyoyapa jina la KIDOTI BAGS ikiwa ni toleo la kwanza kama ambavyo ameyatambulisha kwenye ukurasa wake wa Twitter
Mwanzo wetu ndio huu. Our first batch of bags. Hope you love them, I mean you know we "got your back" #KidotiBags #Kidoti pic.twitter.com/8586fpQS7m
— Jokate Mwegelo (@jokateM) November 18, 2016
Tazama baadhi ya picha za mabegi hayo:
The post JOKATE AAMUA KUWA ‘SERIOUS’ KWENYE BIASHARA; AINGIZA SOKONI MABEGI YA MGONGONI “KIDOTI BAGS” appeared first on GongaMx.com.